Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
Apartment Classic For Rent
KODI 250,000 ร 6
Location: KIMARA KOROGWE
Distance: Dakika 10-12 Kwa Kutembea Tu ๐ถ๐ถ
Sebule Kubwa
Vyumba VIWILI Vikubwa Vya Kulala
Jiko Kubwa Zuri
Public Toilet Nzuri Ipo Ndani ๐ป
Tires,Gypsum Na Slide Windows
Haipo Kwenye Fence
Usalama Kama Lugalo ๐
Parking Space Available
Good Environment ๐
Inajitegemea UMEME Na MAJI
Maji Yanaflow Jikoni Na Chooni 24HRS
Reserve TANK
๐CHANGAMKIA FURSA NDUGU MTEJA ๐โโ๏ธ๐โโ๏ธ๐ฐโ๏ธ
Service Charge 15,000
#Malipo Ya Dalali Peter Kodi Ya Mwezi Mmoja
For More Informations
0688 067 289
0714 418 005 WhatsApp