Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Madale, Dar Es Salaam
APARTMENT INAPANGISHWA;
💧Location :: Madale mivumoni
💧Bei :: 350,000Tsh kwa Mwezi
Muundo wa Nyumba;
📍Vyumba Viwili( kimoja Masta)
📍Sebule kubwa
📍Choo cha Public
📍Jiko Kubwa
📍Feni
Wasiliana nasi Kwa Maelezo zaidi kupitia;
0782428327
Call /Whatsapp