Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Madale, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI SANA 🏡🏘️ INAPANGISHWA
LOCATION: TEGETA MADALE
INA VYUMBA VIWILI CHUMBA KIMOJA MASTER SEBLE DINING JIKO NA PUBLIC TOILET PIA INA FULL A/C
KODI: TSH 500K KWA MWEZI
ZIPO APARTMENTS MBILI NDANI YA COMPOUND KILA MOJA INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI MITA YAKE
SERVICE CHARGE 20K
BILA KUSAHAU MALIPO YA MWEZI MMOJA YA dalali_boris_boko_bunju
TUWASILIANE
Call/ what’s up
+255673772289
Email:dalaliboris@gmail.com