Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mailimoja, Pwani


Apartment Inapangishwa:
(Zipo nne Tu kwenye fensi)
Km 2 kutoka MAILIMOJA stend
Location :: KIBAHA MAIL MOJA
Muundo wa nyumba ya kwanza
Vyumba VIWILI vya Kulala kimoja master
Sebule kubwa
Kitchen with cabinet
Public toilet
Ac
ELECTRICAL FENCE
Cctv Cameras
Remote gate
Paving block
Kodi 300000x6
Muundo wa nyumba ya pili
Master Bedroom
Sebule kubwa
Jiko kubwa lenye makabati
Public toilet
Kodi 200000x6