Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Makongo, Dar Es Salaam
Apartment Ya Kisasa Inapangishwa
Mahali: Makongo Juu Mwisho
Bei: 600,000 Kwa Mwezi
Malipo: Miezi 6
Ya Juu Ndiyo Inapangishwa
☑️Dk 2 Kutembea Kutoka Lami
☑️Vyumba 2, Kimoja Ni Master
☑️Sebule, Jiko & Choo
☑️Fensi & Parking Kubwa
☑️Inajitegemea Umeme & Maji
☑️Ulinzi, Usafi & Taka Ni Bure
☑️Mazingira Ya Kishua
☑️Reserve Tank
☑️Dawasa Maji 24/7
Gharama Ya Kuoneshwa Ni 30,000/= (Inalipwa Mara Moja Na Itadumu Mpaka Upate)
Bila Kusahau Malipo Ya Mwezi Mmoja Wa dalalimastertz
Call & WhatsApp: 0764486945
Call: 0682699988 / 0622651649
Viwanja Na Ofisi Zinapatikana Kwa Size Zote. Karibuni Sana Wateja Wangu🙏
#DalaliMasterTz #MasterMijengo