Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Makongo, Dar Es Salaam


:
𝘼𝙥𝙖𝙧𝙩𝙢𝙚𝙣𝙩 𝙉𝙯𝙪𝙧𝙞 𝙮𝙖 𝙆𝙪𝙥𝙖𝙣𝙜𝙖 #Mpyaaa
#𝙇𝙤𝙘𝙖𝙩𝙞𝙤𝙣: MAKONGO JUU JIRANI NA BARABARA
• Sebule kubwa
• Dinning Room
• Vyumba VIWILI Vya Kulala na Kimoja Wapo ni Master
• Jiko Kubwa
• Choo Kizuri Ndani
• Garden
• Balcony
• Electrical Fance
• Full A/c
• Heater Ya Maji Moto
• Jiko la Plate 4
• Mashine ya Moshi Jikoni
Apartment zipo Ndani ya Fensi Parking ipo na kila Apartment inajitegemea LUKU Umeme na Maji DAWASA yanaflow ndani.
#𝙆𝙤𝙙𝙞_𝙠𝙬𝙖_𝙈𝙬𝙚𝙯𝙞 𝙣𝙞 Tsh. 1,100,000/- Malipo Miezi 6
Service Charge 20,000
1 Month Agent Commission
CONTACT US
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp