Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mawasiliano, Morogoro







APARTMENT NZURI NA IPO MTAA MZURI SANA INAPANGISHWA BEI NI 180,000/= X 6
🌟 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VYA KULALA
#SEBULE
#PUBLIC TOILET
❌ HAKUNA MASTER BEDROOM
❌HAKUNA JIKO
#KIBALAZA KIKUBWA KIPO
❌ZIPO NDANI YA FENSI LAKINI UWEZI KUPAKI GARI NDANI (NO PARKING)
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
BEI NI 180,000/= X 6
💫💫 APARTMENT HII IPO MBEZI KIBANDA CHA MKAA UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1.5 USAFIRI NI BAJAJI AU BODABODA NA UKISHUKA TUU KWENYE BAJAJI UNATEMBEA DK 2 UPO KWENYE NYUMBA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347