Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam
🇹🇿#APARTMENT #INAPANGISHWA
➖➖➖➖➖
📍Mbezi Mwisho Kwa Yusufu, Dakika 3 Kutembea toka Morogoro Road, Barabara nzuri mpaka hapo.
#SIFAZAKE
💧Vyumba viwili, Chumba kimoja master
💧Sebule
💧Jiko
💧Choo cha Familia
💧Umeme LUKU yake, Maji yanaflow ndani
💧Fence, Na Parking Ipo
📌Moja ya Chini Hapa ndio inakuwa wazi Tar 11/11/2024 kuiona na Kulipia Ruksa
♦️Kodi Tsh 400,000/=×6( Miezi Sita)
♦️Malipo ya Dalali Tsh 400,000/=
♦️Service Charge Tsh 15, 000/=.
______________
#Piga_simu 👇
,
#0688573777. 📞&Whatsapp
,
#please #Follow us🙏
Karibu Sana Mteja😊