Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam
APARTMENT YA KIBABE INAPANGISHWA
Tembea Na Hela Boss 💰✍️
Location: MBEZI KWA MSUGURI
Distance: KM 1 KUTOKA MOROGORO ROAD
Usafiri 24Hours Bajaji 700 Boda 1000
✔️SEBULE KUBWA SANA
✔️DINNING ROOM
✔️VYUMBA VIWILI VIKUBWA VYA KULALA
✔️CHUMBA KIMOJA MASTER
✔️JIKO SAFI LINAWEKWA MAKATI
✔️PUBLIC TOILET NDANI 🚻
✔️UMEME NA MAJI UNAJITENGEMEA
✔️MAJI YANAFLOW JIKONI Na VYOONI 24HRS
✔️RESERVE TANKS
✔️NYUMBA IPO NDANI YA FENCE
✔️GOOD ENVIRONMENT 👍
KODI 400,000 × 6
SERVICE CHARGE 15,000
MALIPO YA DALALI PETER KODI YA MWEZI MMOJA
For More Informations
0688 067 289
0714 418 005 WhatsApp