Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


#Repost Dalalimbezibeach_semba
• • • • • •
#VYUMBA_VIWILI_VYA_KULALA
INAPANGISHWA APARTMENT
IKO-DAR-ES-SALAAM Tz
MAHALI- MBEZI BEACH MASSANA NJIA YA GOBA
———————————————————-
#KODI IMEJUMUISHWA ILINZI NA USAFI
———————
KODI TSHS LAKI 670,000/=MWEZI
——
APART YA KISASA
____________
YA KIFAMILIA
______
YENYE:-
Vyumba viwili vikubwa vya kulala kimoja wapo ni #Master
#Sebule kubwa# Dinning Jiko lenye #Makabati
#Choo/Bafu vya public#Vyandani Full Ac
#Gypsum #Tiles #Slides #Windows
#Umeme upo wa #Luku yake
#Maji yapo ya #bomba #24hrs
Cars #Parking Space ipo
Nje Pervingblock
FencedHouse
_______________
Nione
Dalalimbezibeach_semba
0718 759287
0685 006223
Dalalimbezibeach_semba
PIA VIWANJA VINAPATIKANA VYA KUNUNUA