Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI YA KISASA MPYAA MPYAAA INAPANGISHWA
KODI YAKE 250,000/= X 5
🌟 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VYA KULALA KIMOJA NI MASTER BEDROOM
#SEBULE
#JIKO KUBWA
#PUBLIC TOILET NJE
#LUKU METER YA UMEME NA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA YANAFLOW NDANIN
#APARTMENT HII IPO NDANI YA FENCE
BEI NI 250,000/= X 5
đź’«đź’« APARTMENT HII IPO KWAMSUGURI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI NA KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 2 USAFIRI NI BAJAJI 700 BODA 1000
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
NYUMBA IKO WAZI
CONTACT::
0712656027