Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 350,000/= X 6
ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 06/10/2025 KUONA NDANI ENDAPO MPANGAJI ATAKUWEPO
APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VIKUBWA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA
#PUBLIC TOILET
#SINKI LA NJE LA KUOSHEA VYOMBO
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING
#FULL SECURITY
BEI NI 350,000/= X 6
APARTMENT HII IPO MBEZI YA MOROGORO KITUO NI MBEZI INN NA KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 10 TUU KWA MIGUU
KUOYESHWA NYUMBA TSH 20,000
ULIPIAPO NYUMBA DALALI MWEZI 1
What saapp number 0689-547258