Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







[07/10, 16:53] Frank, D: APARTMENT NZURI MPYA KALI SANA ZINAPANGISHWA NA ZITAKUA TAYARI KUHAMIA KUANZIA TAREHE 15/10 /2025
💥APARTMENT HIZI ZIPO ZA AINA MBILI TOFAUTU
SEHEMU 'A'
#VYUMBA 2 VIKUBWA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA LA KISASA
#PUBLIC TOILET
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING KUBWA
BEI NI 450,000/= X 6
SEHEMU 'B'
#CHUMBA MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA LA KISASA
#PUBLIC TOILET
#PARKING KUBWA
BEI NI 300,000/= X 6
💫💫APARTMENT HIZI ZIPO MBEZI KWA MSUGURI UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 6 TUU KWA MIGUU
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
[07/10, 16:53] Frank, D: APARTMENT HIZI ZITAKUA TAYARI KUHAMIA KUANZIA TAREHE 15/10/2025, HIZI NDIO TAARIFA SAHIHI KUTOKA KWA MWENYE NYUMBA 💪🏾
0713320608
0686334182