Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam
APARTMENT YA KIBABE INAPANGISHWA KODI TSH 400,000X6
MBEZI KWA MSUGURI
SIFA ZAKE
# INA VYUMBA 2 VYA KULALA KIMOJA MASTER
# SEBULE KUBWA SANA
# DINNING ROOM
# JIKO SAFI LINAWEKWA MAKATI
# PUBLIC TOILET NDANI
# UMEME NA MAJI UNAJITENGEMEA
# NYUMBA IPO NDANI YA FENCE
BEI TSH NI 400,000/=×6
KUTOKA MOROGORO ROUD KM 1
USAFIRI UPO BAJAJI 700 BODA BODA 1000
UKISHUKA KWENYE BAJAJI UNATEMBEA DAKIKA 5 UMFIKA
KUONYESHWA NYUMBA 15000
ULIPIAPO NYUMBA DALALI MWEZI 1