Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI YA KISASA YA FAMILIA ZINAPANGISHWA BEI NI 300,000/= X 6
MPYA MPYA !!!
๐ NYUMBA HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VIKUBWA VYA KULALA CHUMBA K1 NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO ZURI LENYE MAKABATI
#PUBLIC TOILET
#PARKING IPO
#FENSI ITAJENGWA
BEI NI 300,000/= X 6
๐ซ๐ซ NYUMBA HII IPO MBEZI LUGULUNI DK 15-20 TUU KUTEMBEA KUTOKA KITUONI
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15
๐ฅ NJIA YA GARI NI RAFIKI KWA GARI HADI KWENYE NYUMBA
SIMU 0659336751
WSP 0786085637



















