Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







Apartment Nzuri INAPANGISHWA ✨️
Zipo 2 Kwenye Fence
Location: MBEZI KWA MSUGURI
Distance: K1 Kutoka Morogoro Road
Usafiri 24Hours Bajaji 500, Boda 1000
PRICE: 250,000 × 5/6
✍️Sebule Kubwa
✍️Vyumba VIWILI Vikubwa
✍️Vyote Ni Master Bedrooms
✍️Jiko Kubwa Zuri/Open Kitchen
✍️Public Toilet Outside 🚻
✍️Umeme Na Maji Independent
✍️Yanaflow Jikoni Na Vyooni 24HRS
✍️Reserve TANKS
✍️Fenced &Parking IPO 🚘
✍️Good Environment 💥
Service Charge 15,000
1 Month Agent Commission
Contact Us
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp