Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







Hapa kuna (300,000) na (450,000) ๐ ๐๐๐ญ๐ ๐๐ช๐ ๐ ๐ฆ๐จ๐๐จ๐ฅ๐
APARTMENT NZURI MPYA KALI SANA ZINAPANGISHWA NA ZITAKUA TAYARI KUHAMIA KUANZIA TAREHE 15/10 /2025
๐ฅAPARTMENT HIZI ZIPO ZA AINA MBILI TOFAUTU
๐ฆ๐๐๐๐ ๐จ "๐"
#VYUMBA 2 VIKUBWA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA LA KISASA
#PUBLIC TOILET
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING KUBWA
BEI NI 450,000/= ร 6
๐ฆ๐๐๐๐ ๐จ "๐"
#CHUMBA MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA LA KISASA
#PUBLIC TOILET
#PARKING KUBWA
BEI NI 300,000/= ร 6
๐ซ๐ซAPARTMENT HIZI ZIPO MBEZI KWA MSUGURI
KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 6 TUU KWA MIGUU
Service charge ni shilingi 15,000
Malipo ya dalali ni mwezi mmoja
Contact:
0654101710
0787205300