Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


400,000 KWA MSUGURI 
DK 7 KWA MIGUU 
APARTMENT INAPANGISHWA MBEZI KWA MSUGURI 
===
Vyumba 2 vya kulala kimoja master bedrooms sebule jiko na public toilet
===
Kodi 400,000 Kwa mwezi × 6
===
Umbali dakika 10
Kwa miguu
Kutoka Morogoro road 
fence itajengwa wai sasa inajitegemea umeme na maji yanaflow chooni na jikon
===
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15 itadumu mpaka upate bila kuchajiwa tena
Itakuwa teale kwa kuamia talehe 1/11/2024
====
0784810004 
0779646072 
0713545127




















