Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







#0742260844 #0657484670
.
APARTMENT MPYA INAPANGISHWA MBEZI KWA MSUGURI DK 15 KWA MGUU NJIA ZEGE
Vyumba 2 vya kulala kimojawapo master bedroom kubwa Sebule kubwa jiko la nje na public toilet ndani
Kodi 350,000 kwa mwezi × 3
Umbali DK 15 bodaboda 1000
Parking ipo fence zipo 4 inajitegemea umeme na maji zipo tu
Kupelekwa kuona nyumba 15,000/=