Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







300,000 x3. MBEZI KWA MSUGURI 1.5KM KUTOKA MOROGORO ROAD
APARTMENT FOR RENT
LOCATION:
MBEZI MSIGANI
.5 KUTOKA STAND
BEI NI 300,000/=X3
SIFA ZAKE:
VYUMBA 2VIWILIBHAKUNA MASTER
SEBULE KUBWA YA KUTOSHA
JIKO KUBWA LENYE MAKABATI
INA CHOO KIZURI CHA FAMILIA
LUKU NA MAJI INAJITEGEMEA
FENSI NA PARKING NI KUBWA
Contact ๐ฒ 0679 956 863
0759151524
0781 418 437