Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







🏡Apartment Classic For Rent
Zipo 2 Kwenye Fence
Location: MBEZI KIBANDA CHA MKAA
Upande Wa Kulia Kama Unaenda Mbezi
Distance: KM 2 Kutoka Morogoro Road
Usafiri 24Hours Bajaji 700 Ukishuka Dk 3 🚶🚶
PRICE: 350,000 × 6
✍️Sebule Kubwa Sana
✍️Vyumba VIWILI Vikubwa
✍️Chumba Kimoja Master
✍️Jiko Kubwa Zuri
✍️Garden Nzuri
✍️Parking Space Available 🚘
✍️Inajitegemea UMEME Na MAJI
✍️Yanaflow Jikoni Na Vyooni 24HRS
✍️Reserve TANK
Itakuwa Wazi 10/11/2025
Kuona Nyumba Na Kulipia RUKSA BOSS 💰 ✍️
🚘 NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
📌NJIA ZIPO ZA AINA 2 TOFAUTI ZA KUFIKA KWENYE NYUMBA UNAWEZA KUPITIA KIMARA TEMBONI 👍
Service Charge 20,000
1 Month Agent Commission
Contact Us
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp



















