Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam
Apartment nzuri sana ya kisasa inapangishwa MBEZI KIBANDA CHA MKAA
Pia unaweza kupitia KIMARA TEMBONI
🌟 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA 𝗟𝗔 𝗞𝗪𝗔𝗞𝗢 𝗧𝗨 𝗟𝗜𝗣𝗢 𝗞𝗪𝗔 𝗡𝗝𝗘 𝗣𝗘𝗠𝗕𝗘𝗡𝗜
#STORE
#PUBLIC TOILET 𝗡𝗗𝗔𝗡𝗜
#PARKING 𝗞𝗨𝗕𝗪𝗔 𝗦𝗔𝗡𝗔
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
BEI NI 300,000/= × 6
💫💫 APARTMENT HII IPO 𝗠𝗕𝗘𝗭𝗜 𝗞𝗜𝗕𝗔𝗡𝗗𝗔 𝗖𝗛𝗔 𝗠𝗞𝗔𝗔 𝗔𝗨 𝗣𝗜𝗔 𝗨𝗡𝗔𝗪𝗘𝗭𝗔 𝗣𝗜𝗧𝗜𝗔 KIMARA TEMBONI UPANDE WA KU𝗟𝗜𝗔 KAMA UNAENDA MBEZI
KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI 𝗞𝗺 2 TU
𝗨𝗦𝗔𝗙𝗜𝗥𝗜 𝗕𝗔𝗝𝗔𝗝𝗜 700
NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
KUONESHWA NYUMBA HII G𝗚ARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA.
PIGA SIMU NDUGU MTEJA: 0672 673363