Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







APARTMENTS CLASSIC FOR RENT
MAHALI: MBEZI MWISHO
DAKIKA 10 KWA MIGUU KUTOKA STAND πΆπΆ
ββββββββ
HAPA KUNA NYUMBA ZA AINA MBILI
KUNDI "A"
VYUMBA VIWILI VYA KULALA
CHUMBA KIMOJA MASTER
SEBULE KUBWA
JIKO LENYE MAKABATI
PUBLIC TOILET NDANI π»
KODI 360,000 Γ 6 AU 410,000 Γ 3
ββββββββββ
KUNDI "B"
MASTER KUBWA SANAA
JIKO NDANI LENYE MAKABATI
HAKUNA SEBULE
NDANI YA FENCE
KODI 250,000 Γ 3
PIA KUNA MASTER NA JIKO 200,000 Γ3
ββββββββββ
HUDUMA
MAJI YA DAWASA YANATOKA NDANI 24HRS
LUKU YAKO
PARKING KUBWA SANA HATA LORRY LINAPAR
STORAGE YA MAJI HAPA UHAKIKA KABISA
SHIDA YA MAJI HAPA SAHAU
βββββββββ
NB: HIZI NYUMBA UKILIPA KODI UNAKUWA UMELIPA , MAJI HUMOHUMO, ULINZI, TAKATAKA, USAFI WA MAZINGIRA...MLINZI YUPO GETINI MUDA WOTE
CONTACT US
0688 067 289 π
0714 418 005 WhatsApp