Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







APARTMENT INAPANGISHWA IPO MBEZI KWA MSUGURI AU UNAWEZA PITA KIBANDA CHA MKAA KWA MIGUU KUTOKA LAMI AU BODA
------
Vyumba 2 vya kulala kimoja Master badroom
Seble kubwa Sana
Jiko kubwa la kisasa
Public toilet
Maji yana flow
Luku yako.
Ndani ya fence ya waya
Paving block
Parking spece kubwa Sana
------
Service charge 15,000/=
Kodi 350,000/=Γ6
------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja tu ambayo ni laki 3.5
------
DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747
0765-494343
0683-387747
#KIUMBE_REAL_ESTATE_AGENTπΉπΏ
EPUKA MATAPELI FANYA KAZI NA MADALALI WENYE OFFICE NA WALIYO SAJILIWA π
______