Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI MPYA ZA KISASA ZINAPANGISHWA MBEZI MWISHO NJIA YA MPIJI MAGOHE KITUO NI MACHIMBO
 
🌟 APARTMENT HIZI ZINA SIFA ZIFUATAZO 
#VYUMBA 2 VIKUBWA VYA KULALA 
#KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA SANA 
#SEBULE KUBWA 
#JIKO KUBWA LA KISASA 
#PUBLIC TOILET 
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA 
#ZIPO APARTMENT 3 TUU 
BEI NI 280,000/=x5,6
KUONESHWA  NYUMBA  HII  GARAMA  YAKE NI SHILINGI  ELFU 15 
NDUGU MTEJA HINYUMBA  IPOTAYARI KWA KUHAMIA  FENSI WANAAZA KUJENGA WIKI HII NI UHAKIKA 🏃🏃
DALALI KIMARA SUKA LEONARD 
0719-092747
0683-387747
0765-494343




















