Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam
14_
APARTMENT INAPANGISHWA
SIFA ZAKE:
✓ 2 BEDROOMS, 1 MASTER
✓ SITTING ROOM
✓ DINING ROOM
✓ JIKO
✓ PUBLIC TOILET
✓ PRIVATE LUKU
✓ MAJI YANAFLOW NDANI
✓ FENCE
✓ PARKING SPACE KUBWA
KODI:
350,000/=TSH KWA MWEZI, MALIPO KWA MIEZI 3 MPAKA 6
LOCATION:
MBEZI MALAMBA MAWILI, DAR ES SALAAM, DAKIKA 10 KWA MIGUU FROM MAIN ROAD
SERVICE CHARGES:
15,000=TSH KUONESHWA NYUMBA AU KODI YA MWEZI MMOJA IKIFANYIKA BIASHARA
+255 694 075 761
.
.