Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam
APARTMENT YA KIBABE INAPANGISHWA MBEZI KWA MSUGURI
SIFA ZAKE
# INAVYUMBA 2 VYA KULALA KIMOJA MASTER
# SEBULE KUBWA SANA
# DINNING ROOM
# JIKO SAFI LINAWEKWA MAKATI
# PUBLIC TOILET NDANI
# UMEME NA MAJI UNAJITENGEMEA
# NYUMBA IPO NDANI YA FENCE
BEI NI 400,000/= X 6( ILIPWE LAKI NNE KODI YA MIEZI SITA)
KUTOKA MOROGORO ROUD KM 1,
USAFILI UPO BAJAJI 700
BODA 1000
UKISHUKA KWENYE BAJAJI UNATEMBEA DAKIKA 5 UMFIKA
KUJAKUONA NYUMBA NI ELFU 15
UKIIPENDA NYUMBA UAMRIPA DALALI PESA YA MWEZI
BARABARA NI LAMI
__
DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747
0683-387747
0765-494343
__
PIGA SIMUUUUU