Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 250,000/= X 6
🌟 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VIKUBWA VYA KULALA
#SEBULE WASTANI
#JIKO KUBWA LIPO KWA NJE
#PUBLIC TOILET YA NDANI
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING
❌HAKUNA MASTER
BEI NI 250,000/= X 6
đź’«đź’« APARTMENT HII IPO MBEZI MWISHO ROUND ABOUT YA GOBA UMBALI HADI KWENYE NYUMBA NI DK 13 TUU KWA MIGUU
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
#0710614924
#0688653940