Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


#APARTMENT INAPANGISHWA MBEZI MAKABE DAR ES SALAAM 🇹🇿
SIFA ZAKE
=========
INA VYUMBA VIWILI VYA KULALA MASTER BEDROOM 1
SEBLE KUBWA
JIKO LA MAKABATI
PUBLIC TOILET
MAJI YANATOKA NDANI
UMEME UNAJITEGEMEA
ELECTRIC FENCE
CAR PARKING IPO
KODI NI 300,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI 4, 5, 6
SERVICHAJ ELFU 15 NA ITADUM MPKA UPATE NYUMBA BILA KUCHAJIWA TENA
CONTACT
0742260844
0657384670