Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







#APARTMENT INAPANGISHWA MBEZI KIBANDA CHA MKAAA
VYUMBA VIWILI VYA KULALA
VYOTE NI MASTER BEDROOMS
SEBULE WASTANI
JIKO LA MAKABATI
NDANI YA FENSI
UMBALI WA KILOMETA 1
BEI 300,000/=×6
KUONA NI 20,000/=
Piga sim Kwa Maelezo zaidi usitume sms utachelewa Kujibiwa
0712500602
0755336565