Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
Sh. 450,000

(450,000X6)MBEZI KIBANDA CHA MKAA
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 450,000/= X 6

ITAKUWA WAZI KUANZIA TAREHE 15/10/2024 AU MAPEMA ZAIDI YA HAPO KUONA NDANI RUKSA KABISA ENDAPO MPANGAJI ATAKUWEPO

🌟 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO

# VYUMBA 2 VIKUBWA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA SANA
#JIKO KUBWA SANA LENYE MAKABATI
#PUBLIC TOILET
#ZIPO APARTMENT 3 TUU KWENYE FENSI MOJA NA HII MOJA NDIO INAPANGISHWA
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING
#PAVING
#GARDEN

BEI NI 450,000/= X 6

💫💫 APARTMENT HII IPO MBEZI KIBANDA CHA MKAA UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1 NA USAFIRI BAJAJI NA UKISHUKA TUU KWENYE BAJAJI UNAPIGA TEKE MLANGO

KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA

ITAKUWA WAZI KUANZIA TAREHE 15/10/2024 AU MAPEMA ZAIDI YA HAPO
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
KUPELEKWA SITE ELF 15

UNAPOLIPIA NYUMBA UTAMPA DALALI KODI YA MWEZI
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
CONTACT US:-
0716223412
0683597453

dalali_kimara_kimara_kibamba🔵
dalali_kimara_ubungo_kibamba
dalali_kimara_kimara_kibamba🔵

Similar items by location

Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 1,200,000

STAND ALONE #vyumba_viwili INAPANGISHWAIKO-DAR-ES-SALAAM TzMAHALI-MBEZI BEACH______________KODI TSHS...

Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 2,000,000

#VYUMBA_VITATU _VYA_KULALA#INAPANGISHWA #APARTMENT# IKO-DAR-ES-SALAAM TzMAHALI- MBEZI BEACH KWA ZE...

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 195,000,000

NYUMBA NZURI GHOROFA INAUZWA (MILLION 195) MBEZI JUU AFRICANA KWA NIABA YA BANK Mawasiliano: 0782117...

Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 2,000,000

#VYUMBA_VITATU _VYA_KULALA#INAPANGISHWA #APARTMENT# IKO-DAR-ES-SALAAM TzMAHALI- MBEZI BEACH KWA ZE...

Nyumba/Apartment inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 350,000

APARTMENT KALI KABISA INAPANGISHWA HII SIYOO YA KUACHALOCATION:MBEZI MWISHO NJIA YA KWENDA MJIPI ( M...

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 350,000

APARTMENT KALI KABISA INAPANGISHWA BEI YA KUTUPA KABISAA NYUMBA NI MPYA NA UPYA WAKELOCATION:MBEZI M...

Kiwanja kinauzwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 120,000,000

#KIWANJA_KINAUZWA#MAHALI MBEZI BEACH UKUBWA SQM 1235BEI KINAUZWA ML 120Maongezi yapo Contact 🇹🇿#06...

Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 150,000

APARTMENT ZINA PANGISHWA MBEZI KWA MSUGULI KM1 KUTOKA LAMI ------Chumba master Seble kubwa Tiles Gyp...

Nyumba ya vyumba vinne inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 650,000

(650,000X6)MBEZI KWA MSUGURI 1KM KUTOKA MOROGORO ROAD, NJIA NI ZEGE➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖NYUMBA KUBWA YA KIFAMIL...

Kiwanja kinauzwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 22,000,000

BEI MILIONI 22 NDIO BEI YA MWISHO =============MAONGEZI YAPO KIDOGO=============KIWANJA KINAUZWA KIP...