Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam
🇹🇿#APARTMENT #INAPANGISHWA
➖➖➖➖➖
📍Mbezi INN, mbezi mwisho ya Kimara, Dakika 10 Kutembea Toka Main Road
#SIFAZAKE
💧Vyumba viwili vyakulala, Kimoja Master
💧Sebule
💧Jiko
💧Umeme LUKU yake
💧Maji meter Yake na yanaflow ndani
💧Fence, Na Parking Ipo kubwa
💧Zipo 4 Hapa, Moja hii Inakuwa Wazi Leo(Tar 01/11/2024) kuiona na kulipia Ruksa
♦️Kodi Tsh 350,000/=×6( Miezi Sita)
♦️Malipo ya Dalali Tsh 350,000/=
♦️Service Charge Tsh 15, 000/=
______________
#Piga_simu 👇
,
#0688573777. 📞&Whatsapp
,
#please #Follow us🙏
Karibu Sana Mteja😊