Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







BEI 300,000 ,, BEI 300,000
APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 300,000/= X 6
๐APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA VIWILI VIKUBWA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA SANA
#PUBLIC TOILET
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#ZIPO APARTMENT 2 TUU KWENYE FENSI MOJA NA HII MOJA NDIO INAPANGISHWA
#PARKING KUBWA
BEI NI 300,000/= X 6
๐ซ๐ซAPARTMENT HII IPO MBEZI KIBANDA CHA MKAA UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1.8 NA USAFIRI NI BAJAJI AU BODABODA
PIA UNAWEZA KUPITIA KIMARA TEMBONI NA UKAFIKA VIZURI HADI KWENYE NYUMBA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
1713320608
0686334182