Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam
πΉπΏ #APARTMENT #INAPANGISHWA
βββββ
πMbezi Kibanda Cha Mkaa, 1Km Kutoka Morogoro Main Road Boda Boda 1000 tu
#SIFAZAKE
Vyumba viwili, Chumba Kimoja ni Master, Sebule, Jiko na Choo cha familia.
Umeme Luku Yake & Maji yanaflow ndani
Iko ndani ya fensi na Parking nikubwa
Kodi Tsh 350,000/=Γ6(Miezi Sita)
Malipo ya Dalali Tsh 350,000/=
Service Charge Tsh 15, 000/=
______________
#Piga_simu π
,
#0688573777. π&Whatsapp
,
#please #Follow usπ
Karibu Sana Mtejaπ