Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam
APARTMENT KALI KABISAAA INAPANGISHWA BEI YA KITONGA KABISAAA WATEJA ZANGUUU
LOCATION:MBEZI MWISHOOO
PIKIPIKI 1000
DALADALA 500
KODI YAKE:400,000=/KWA MWENZI
MALIPO MIEZI 4
SIFA YA NYUMBA
👉VYUMBA VIWILI KIMOJA MASTER
👉SEBURE KUBWA KABISAA
👉JIKO SAFIIII
👉STOOO
👉TOILET PUBLIC
👉PAVING BLOCK
👉FENCE
👉PARKING KUBWA
👉UMEME NA MAJI UNAJITEGEMEA
CONTACT
0782428327