Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam
🇹🇿 APARTMENT CLASSIC FOR RENT
Location: MBEZI MWISHO - NJIA GOBA
📌SEBULE KUBWA
📌VYUMBA VIWILI VYA KULALA
📌KIMOJA MASTER BEDROOM
📌JIKO NZURI LENYE MAKABATI
📌CHOO CHA FAMILIA
📌AIR CONDITION SEBULE NA CHUMBANI [MASTER]
📌UMEME LUKU YAKO
📌MAJI YANAFLOW NDANI
📌MAZINGIRA MAZURI SANAA
📌MAKABATI YA NGUO VYUMBANI
📌CCTV CAMERA
📌ULINZI BURE USIKU
KODI NI TZS 500,000/=×6
NYUMBA IPO UMBALI WA DAKIKA 5 KWA MGUU KUTOKA GOBA ROAD [LAMI]
NYUMBA IPO KWENYE FENCE
MAZINGIRA MAZURI MNOOO ZAIDI YA MNOO
NYUMBA ITAKUWA WAZI 11/01/2025
KUONA NYUMBA Na KULIPIA RUKSA BOSS 💰✍️
SERVICE CHARGE 20,000/=
MALIPO YA DALALI PETER KODI YA MWEZI MMOJA
For More Informations
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp