Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


#VYUMBA_VIWILI
INAPANGISHWA APARTMENT
IKO-DAR-ES-SALAAM Tz
MAHALI-MBEZI BEACH LAMI NYUMBA
______________
KODI USD 800$ KWA MWEZI
MALIPO YA MIEZI (3)
_____________
KUBWA YA KIFAMILIA
_______
YENYE:-
Vyumba Viwili vya kulala #Masta #Sebule #Jiko zuri lenye #makabati #Choo/#Bafu vya ndani public
#Gypsum #Tiles #Windows
#Umeme upo wa #Luku yake
#Maji yapo ya #bomba #24hrs
Cars #Parking Space ipo
Nje #Pavingblocks
#FencedHouse