Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 300,000/= X 6 
🌟 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO 
#VYUMBA 2 VIKUBWA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA 
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA
#PUBLIC TOILET 
#PARKING
#ZIPO APARTMENT 4 TUU KWENYE FENSI MOJA NA HII MOJA NDIO INAPANGISHWA 
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA 
BEI NI 350,000/= X 6 
AGENT FEE 1 MONTH 
SURVEY CHARGE 20K 
💫💫 APARTMENT HII IPO MBEZI MAGARI SABA UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI 
KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA KM 1 BODABODA 1000 
📌 CONTACT 
  CALL/WHATSAPP...O677370515




















