Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


APARTMENT KALI KABISA ZINAPANGISHWA HII SIYO YA KUACHA KABISA WATEJA ZANGUU
LOCATION:MBEZI MWISHO(MAGUFURI TERMINAL)
PIKIPIKI:1000
KODI:400,000=/ KWA MWENZI
MALIPO MIEZI 5
SIFA YA NYUMBA
š„VYUMBA VIWILI KIMOJA MASTER
š„SEBURE KUBWA
š„JIKO LENYE MAKABATI
š„PUBLIC TOILET
š„STOO
š„UMEME NA MAJI UNAJITEGEMEA
š„PARKING KUBWA
š„FENCE
š„PAVING BLOCK
CONTACT
0782428327