Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI MPYA KALI SANA ZINAPANGISHWA NA ZITAKUA TAYARI KUHAMIA  KUANZIA TAREHE 15/10 /2025 
💥APARTMENT HIZI ZIPO ZA AINA MBILI TOFAUTU
SEHEMU 'A'
#VYUMBA 2 VIKUBWA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA 
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA LA KISASA 
#PUBLIC TOILET 
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING KUBWA
BEI NI 450,000/= X 6
SEHEMU 'B'
#CHUMBA MASTER BEDROOM KUBWA 
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA LA KISASA 
#PUBLIC TOILET 
#PARKING KUBWA
BEI NI 300,000/= X 6
💫💫APARTMENT HIZI ZIPO MBEZI KWA MSUGURI UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 6 TUU KWA MIGUU 
O677370515 
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA




















