Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Pugu, Dar Es Salaam
NYUMBA INAPANGISHWA (NI MPYAAAA) APARTMENT MBILI TU NDANI YA FENSI.
INA VYUMBA VIWILI VYA KULALA (KIMOJA MASTER) VYUMBA VYOTE VINA FENI, INA SEBULE NA JIKO. MAJI YAPO MASAA 24 INATENKI MAJI DAWASA NA UMEME UNAJITEGEMEA, NNJE PANAWEKWA PAVING.
LOCATION: PUGU SHULE YA MSINGI
KODI 250000 KWA MWEZI.. MALIPO MIEZI 3.
CONTACT: 0692423138 / 0719115949.