Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Tabata, Dar Es Salaam


APARTMENT INAPANGISHWA 
IPO TABATA KINYEREZI KIBAGA 
VYUMBA VIWILI 
MASTA 
SEBULE 
NO JIKO
_______
NDANI YA FENCE 
PARKING 
_______
MAJI UMEME UNAJITEGEMEA 
KODI TSH 200,000 KWA MWEZI 
PIGA 👉 0788373343
SERVICE CHARGE 15000
============




















