Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Tabata, Dar Es Salaam
NEW APARTMENTS ZA KISASA INAPANGISHWA IPO KWENYE FENCE TABATA KINYEREZI KIBAGA
Bei:600,000/ Per Month
Payment Terms: 3 Months in Advance
____________________________________
📍Malipo ya Dalali ni ya Mwezi 1
📍Service Change:20,000
____________________________________
📍LOCATION: TABATA KINYEREZI KIBAGA
DAR ES SALAAM-TANZANIA
📍DISTANCE- Dakika 4 kutoka Main Road
➡️PROPERTIES OF THE HOUSE 🏠
__________________________________
📍Vyumba 2 Vya kulala
📍1 Master bedroom
📍Sebule
📍Jiko la makabati
📍Fully A/C
📍Mafeni juu
📍Public toilet
📍Space parking Car
📍Peving block
➡️ITS SERVICES
________________
📍Maji dawasco 24hrs
📍Heater water
📍Reserve water tank
📍Umeme unajitegemea
📍Maji kisima
📍Electronic fence
📍Cctv Camera
📍Security
➡️New Apartments za kisasa zipo katika mazingira Tulivu Usalama wa uwakika