Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Tabata, Dar Es Salaam


Nyumba inapangishwa sh 250000 kwa mwezi kodi kuanzia miezi 4 na kuendelea, ina vyumba 2, jiko, public toilet, no self contained, fence, maji masaa 24, reserve water tank, parking,hii apartment inatazamana lami, location tabata kinyerezi mbuyuni
✅Pia mteja nyumba ukilipia nyumba inapakwa rangi mpya
Muhitaji piga sim
Calls/Whatsapp 0768682919
0653233641
Service survey change tsh 20000
1 month to agent