Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam







🏠 HOUSE CLASSIC FOR RENT
#APARTMENT
Location: UBUNGO KIBANGU JUU - MAPIPA YA LAMI
Unaweza Ukapitia UBUNGO RIVERSIDE/ KIMARA KOROGWE MWENDOKASI
Usafiri 24Hours Bajaji 700, Boda 1000
✅️Sebule Kubwa Sana
✅️Vyumba VIWILI Vikubwa
✅️Vyumba Vyote Ni Master Bedrooms
✅️Kitchen With Cabinets
✅️Public Toilet Nzuri 🚻
-Umeme Na Maji Meter Independent
-Yanaflow Jikoni Na Vyooni 24HRS
-Reserve TANKS
✅️Fenced
✅️Full Paving Blocks 🚫
✅️Parking Space Available 🚘
✅️Good Environment 👍
✍️ENEO TULIVU ,SAFI NA HAKUNA USWAHILI KABISA
KODI 400,000 × 6
Service Charge 15,000
1 Month Agent Commission
For More Informations: 0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp