Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam







NI APARTMENT NZURI INAPANGISHWA
APARTMENT IPO UBUNGO MAKOKA KWA MKUA
KM 2 KUTOKA KITUO CHA MWENDOKAS USAFIRI BAJAJI 500 UKISHUKA DK 1 UPO NYUMBAN
KODI NI 250,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI SITA
SIFA ZAKE
=========
VYUMBA VIWILI VYA KULALA KIMOJA MASTER SEBULE KUBWA. aina jiko NA PUBLIC TOILET NZURI YA NJE
INA TILLES GYPSUM ALUMINIUM SAFI IPO NDAN YA FENS PARKING SPACE KUBWA PERVING BLOCK SAFI MAZINGIRA MAZUR LUKU YAKE NA MAJI YAPO DAWASA YANAFLOW CHOON
SERVICHAJ ELFU 10
CONTACT
0742260844
0657384670