Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam
🇹🇿 #APARTMENT #INAPANGISHWA
➖➖➖➖➖
📍Ubungo Kibo, Dar es Salaam
🕑Dakika 4 Kutembea Kutoka Morogoro Main Road
#SIFAZAKE
🔹Vyumba viwili, Hakuna Master
🔹Sebule
🔹Jiko
🔹Public Toilet ya ndani
🔹Umeme LUKU yake, Maji yanaflow ndani
🔹Hakuna fence ila Usalama ni Mkubwa
👉Zipo 4 Hapa, na hii Moja ya Juu ndio Inapangishwa
♦️Kodi Tsh 300,000/=×6(Miezi Sita)
♦️Malipo ya Dalali Tsh 300,000/=
♦️Service Charge Tsh 15, 000/=
______________
#Piga_simu 👇
,
#0688573777. 📞&Whatsapp
,
#please #Follow us🙏
Karibu Sana Mteja😊