Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam
WASWAILI WANASEMA CHELEWA CHELEWA UTAKUTA MWANA SII WAKO
.
UKIIKOSA HII JILAUM MWENYEWE NDG MTEJA WANGU
.
KODI NI 350,009 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI 5, 6
.
LOCATION UBUNGO MAKOKA KWA MKUA KM2 KUTOKA MWENDOKASI KIMARA KOROGWE AU KUTOKEA UBUNGO EXSTENO KOTE UNAFIKA NYUMBAN
.
SIFA ZAKE
=========
INA VYUMBA VIWILI VIKUBWA SANA VYA KULALA KIMOJA MASTER BEDROOM KUBWA SEBULE KUBWA JIKO ZURI KUBWA SANA NA PUBLIC TOILET NZUR KWA FAMILIA YAKO
.
ZIPO APARTMENT 4 TU KWENYE COMPAUND MOJA NA KILA MMOJA INAJITEGEMEA UMEME LUKU YAKE MAJI YAKE DAWASA YANAFLOW NDAN
.
INA TILLES GYPSUM ALUMINIUM SAFI KAMA UNAVYOONA MWENYEWE APO IPO NDANI YA FENCE PARKING SPACE KUBWA MAZINGIRA MAZURI BRBR SAFI NA INAFIKIKA KWA GARI YA AINA YOYOTE
.
SERVICHAJ ELFU 15 NA ITADUM MPKA UPATE NYUMBA BILA KUCHAJIWA TENA
SIMU 0659336751 WSP 0786085637