Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam







Apartment inapangishwa UBUNGO RIVERSIDE
NYUMBA INA VYUMBA VIWILI VYA KULALA NA KIMOJA
Master bedroom
Sebule kubwa
Jiko la kisasa
Public toilet
Luku yako
Maji yana flow ndani
Full tilles, gypsum & aluminum
Paving block
Parking yakutosha
Kodi 400,000/= kwa mwezi mmoja, Malipo miezi 6
Kwa maelezo zaidi piga
077370515
Mr.