Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam







Apartment house for Rent
Location Ubungo Riverside Dakika 5 Kutembea mpaka Kituoni
Kodi 350000×6 Kwa Mwezi Dalali Mwezi 1 Service Charge 20 Kuona Nyumba
Sifa zake
==========
Room 2 za Kulala hakuna Master Bedroom
Sitting Room Kubwa
Jiko Kubwa
Public toilet ndani
Luku yake
Maji Dawasa ndani
Parking space fancy
Pavin Block
Dirisha shata
Garden
Good environment
Piga sim Kwa Maelezo zaidi usitume sms utachelewa Kujibiwa
NB: Itakua wazi Tarehe 1 Mwezi 11 Kuona Nyumba na Malipo Ruhusa
0712500602
0755336565